إرسال رابط إلى التطبيق

millard ayo


4.4 ( 9504 ratings )
أخبار
المطور: Basil Lyayuka
حر

Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi, jiunge nami katika app kukaa karibu na mimi:
1.Stori na news zote za millardayo.com zinapatikana hapa kiurahisi.
2.Comment na share stori na washkaj kiurahisi.
3.Pata ujumbe(notification) kwa kila stori mpya nayoipandisha.
4.Hifadhi stori na kuisoma baadae hata kama huna internet baadae (star/ favorites).
5.Na mengine mengi, enjoy& stay updated!